{"id":27,"date":"2015-11-21T12:16:37","date_gmt":"2015-11-21T12:16:37","guid":{"rendered":"http:\/\/localhost\/planning\/gender-policy\/"},"modified":"2025-01-28T12:38:32","modified_gmt":"2025-01-28T09:38:32","slug":"gender-policy","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/dpd.sua.ac.tz\/?p=27","title":{"rendered":"Gender Policy"},"content":{"rendered":"

Sera ya Jinsia (Gender policy)\u00a0 2012<\/strong><\/a><\/p>\n

Sera ya Jinsia<\/a> itatumika kama dira na Mwelekeo wa Chuo katika Masuala yote yanaofungamana na jinsia.Huu ndio utakuwa msingi katika kujenga mikakati ya kufanikisha\u00a0 malengo na madhumuni kuhusu uelewa wa jinsia Chuoni.Sehemu hii inazungumzia dira mwelekeo,lengo na Mikakati kuhusu Sera ya Jinsia ya Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo
\n